News

UONGOZI wa Fountain Gate umemsimamisha kipa wake John Noble kwa makosa yanayodaiwa kuwa ni ya kizembe kwenye mchezo wa Ligi ...
LEJENDI wa Liverpool, Jamie Carragher amesisitiza beki wa timu hiyo Trent Alexander-Arnold hapaswi kuanza tena katika kikosi ...
KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amewahakikishia mashabiki wa Arsenal kuwa staa wa timu hiyo, Bukayo Saka hakuumia vibaya licha ...
KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amesisitiza kuondoka kwake haraka mara tu filimbi ya mwisho ilipopigwa katika mchezo dhidi ya ...
MABINGWA watetezi, Yanga wameendelea kunyatia ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Fountain Gate, katika mchezo uliopigwa Jumatatu hii kwenye Uwanja ...
BAADA ya kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Wolves wikiendi iliyopita, Manchester United imeendelea kuweka rekodi mbaya msimu huu ...
KOCHA wa Azam FC, Rachid Taoussi, amefichua kwamba kikao alichofanya na mshambuliaji Jhonier Blanco juu ya kutathimini ...
HATA itokee miujiza kiasi gani, lakini Namungo haitaweza kuvuka pointi 40 katika mechi tatu zilizobaki. Hiyo inatokana na ...
HAIKUWA kazi nyepesi kwa beki wa Simba, Chamou Karaboue kupata nafasi kwenye kikosi hicho mbele ya mabeki, Che Malone Fondoh ...
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, aamesema timu yake itaenda Afrika Kusini kushambulia na kufunga, si kulinda bao moja walilopata ...
WIKI hii wachezaji na mashabiki wa Liverpool watakuwa sebuleni macho yote yakiutazama mchezo wa London dabi wa Arsenal dhidi ...
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania Alphonce Simbu ameng'ara katika mbio za Boston Marathon ambazo zimemalizika muda mchache ...